Furahia matoleo makubwa na bora zaidi ya michezo mahususi ya vifaa vya mkononi na ufurahie michezo iliyoboreshwa ili ichezwe kwenye kompyuta katika mfumo wa Google wa michezo ya video katika kompyuta4.
Adorable Home
AFK Arena
Age of Apes
1945 Air Force: Airplane Games
Among Gods! RPG Adventure
Arknights
Asphalt Legends - Racing Game
Awaken: Chaos Era
Basketrio:Allstar Streetball
Blade Idle
Botworld Adventure
Braveland Heroes
Matofali kuvunja Quest
Bubble CoCo : Bubble Shooter
Cafe Panic: Cooking games
叫我萬歲爺
Call of Dragons
CookieRun: Kingdom
CookieRun: OvenBreak
Day R Survival: Last Survivor
Dragon Mania Legends
Dragonscapes Adventure
Drift Max Pro Car Racing Game
Dungeon Knight
eFootball™ CHAMPION SQUADS
Empire Takeover
Eversoul
Evony: The King's Return
FINAL FANTASY BE:WOTV
Game of Sultans
Gardenscapes
Genshin Impact
Golf King - World Tour
Grimvalor
Hades' Star
Homescapes
Horizon Chase – Arcade Racing
Hungry Shark Evolution
Hustle Castle: Medieval games
Idle Heroes
Idle Mafia - Tycoon Manager
Idol Queens Production
Island War
Jumo Clicker! - Pancake Tycoon
Just Dance Now
KidloLand Kids & Toddler Games
King's Throne: Royal Delights
Last Fortress: Underground
Last Shelter: Survival
Left to Survive: Call of Dead
Lords Mobile: Pacific Rim War
Luna Re : Dimensional Watcher
Magic Jigsaw Puzzles-Games HD
Magic Rampage
Masha and the Bear Pizza Maker
Merge Fables®
기적의 검
Mobile Legends: Bang Bang
OTR - Offroad Car Driving Game
Open House: Match 3 puzzles
Pixel Starships™
Pirates of the Caribbean: ToW
Religion Inc. The game god sim
Rise of Castles: Ice and Fire
Rise of Kingdoms: Lost Crusade
Ronin: The Last Samurai
Ski Resort: Idle Tycoon & Snow
Space shooter - Galaxy attack
Star Chef 2: Restaurant Game
State of Survival: Zombie War
Summoners War
Summoners War: Chronicles
Ten Crush
Township
Top Eleven Be Football Manager
Top War: Battle Game
Tower Conquest: Tower Defense
Tower Defense: Towerlands (TD)
Turnip Boy Commits Tax Evasion
Undersea Solitaire Tripeaks
Valor Legends: Idle RPG
Marble Shooter: Viola's Quest
War Alliance - PvP Royale
War and Magic: Kingdom Reborn
War and Peace: Civil War
War Planet Online: MMO Game
Wild Castle: Tower Defense TD
Worms Zone .io - Njaa nyoka
WWE SuperCard - Wrestling Game
Zen Koi 2
Zombeast: FPS Zombie Shooter
Kupitia pointi za Google Play, utapata pointi kwa kila kitu unachonunua kwenye Michezo ya Google Play ikiwa ni pamoja na vipengee vilivyo ndani ya programu na usajili. Unaweza kujipatia na kutumia pointi za Google Play kwenye kompyuta binafsi yako kupitia mchakato sawa unaotumia kwenye kifaa chako cha mkononi.3
Tumia kipanya na kibodi yako kurahisisha kazi na kuimarisha utendaji wako.2
Chezea karibu ukitumia skrini kubwa na picha zilizoboreshwa.
Tunashirikiana na wasanidi programu kuboresha michezo mahususi ili kuhakikisha uchezaji unaovutia. Pia, utapata maktaba pana ya michezo mingine ili ufurahie. Huwa tunatekeleza ukaguzi wa usalama kwenye michezo yote ili kusaidia kuimarisha usalama wa vifaa vyako.
Ili upate maelezo zaidi kuhusu masharti haya, tembelea Kituo cha Usaidizi.
Intel ni chapa ya biashara iliyosajiliwa ya Intel Corporation au kampuni zake tanzu. Windows ni chapa ya biashara ya kundi la kampuni za Microsoft.
Michezo ya Google Play ni programu ya kompyuta inayokuruhusu uvinjari, upakue na ucheze michezo mahususi ya vifaa vya mkononi kwenye kompyuta ya mezani au kompyuta ya kupakata ya Windows. Kando na kufurahia michezo unayopenda ya Android kwenye kompyuta, unaweza kutumia kibodi na kipanya, kucheza michezo unayopenda kwa wakati mmoja, kusawazisha kwa urahisi katika vifaa1 na ujumuishaji wa Pointi za Google Play.
Ili ushiriki katika beta, PC yako lazima itimize masharti haya ya msingi:
Sasa, ikiwa kompyuta yako inatumia kichakataji cha AMD, una ufikiaji wa michezo yote bora sawa na kompyuta zinazotumia vichakataji vya Intel.
Michezo ya Google Play beta inapatikana katika zaidi ya maeneo 130.
Mtumiaji yeyote katika maeneo haya aliye na akaunti inayotimiza masharti anaweza kupakua toleo la beta.
Programu ya vifaa vya mkononi ya Michezo ya Google Play kimsingi inalenga hali ya kucheza michezo inayofunguka papo hapo ambapo unaweza kucheza michezo ya kawaida moja kwa moja. Tutakuwa na matangazo zaidi ya programu ya vifaa vya mkononi hivi karibuni. Kuanzia sasa, "Michezo ya Google Play" itarejelea hali ya utumiaji wa kompyuta ambako unaweza kufurahia michezo unayopenda ya vifaa vya mkononi kwenye kompyuta na michezo iliyoboreshwa ili ichezwe katika kompyuta.
Kwa sasa, zaidi ya michezo 200,000 inapatikana kwenye maeneo yote yaliyo na toleo la beta. Tunaweka michezo mara kwa mara, hivyo angalia tena mara kwa mara ili uone michezo mipya.Gundua michezo
Michezo ya Google Play ni programu ya ndani ya Windows na haitumii nafasi ya ziada ya hifadhi kwenye vifaa vingine, ikiwa ni pamoja na simu za mkononi.
Angalia makala yetu ya kituo cha usaidizi ili upate maelezo zaidi kuhusu jinsi ya kusakinisha na kuweka mipangilio ya Michezo ya Google Play beta kwenye kompyuta yako binafsi.